Viongozi wa nchi rafiki wa Ukraine wamekutana Paris kujadili dhamana za usalama endapo amani na Urusi itafikiwa, lakini mvutano wa kisiasa, msimamo wa Urusi na mwelekeo wa Marekani vinaacha maswali ...
Wakati mkutano wa kimataifa wa mazingira wa COP30 ukiendelea huko Brazil, uzalishaji wa hewa chafu duniani unaendelea kuongezeka, muongo mmoja baada ya makubaliano ya mazingira ya Paris. Hata hivyo, ...
Wakati wa siku tatu za kwanza za kesi yake, kiongozi huyo wa zamani wa waasi aliwatimua mawakili wake mfululizo, alikataa kufika mahakamani, na kuanza mgomo wa kula. "Tunaona hizi kuwa mbinu za ...
Mwasi huyo wa zamani wa Kongo amekuwa akishtakiwa tangu wiki iliyopita kwa kushiriki katika uhalifu dhidi ya binadamu. Anakabiliwa na kifungo cha maisha jela kwa vitendo vya kuanzia mwaka 2002-2003 ...