Wakristo wa kikatoliki katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamefanya maandamano katika maeneo mbali mbali ya nchi hiyo kupinga ufisadi. Maandamano hayo ambayo yameitishwa na Kamati ya Katoliki ya ...
Viongozi wa ulimwengu wanatoa heshima zao kwa Papa kama "mtetezi wa amani" siku zote na "kiongozi bora wa kiroho". Rashid Abdallah & Asha Juma Chanzo cha picha, AFP Wakatoliki duniani kote ...
Kama ilivyo katika maeneo mengine duniani Wakristo Wakatoliki nchini Tanzania, wanaomboleza kifo cha kiongozi wa kanisa hilo Papa Francis kilichotokea Jumatatu ya Aprili 21. Baraza la Maaskofu ...
Kiongozi mkuu wa kanisa Katoliki Papa Francis ashindwa kuongoza ibada muhimu ya Jumapili ya pasaka. Waumini wa Kanisa Katoliki duniani wamekusanyika leo Jumapili katika uwanja wa St Peter katika ibada ...
Waumini wa kanisa Katoliki leo Jumatatu wameanza kutoa heshima zao kwa papa mstaafu Benedict wa 16, mjini Vatican. Mwili wa Papa utawekwa katika kanisa la Mtakatifu Petro kwa siku tatu kabla ya ...