KOCHA Mkuu wa kikosi cha Azam FC, Florent Ibenge, anasema baada ya kumalizana na michuano ya kimataifa, kazi iliyosalia ni kuhakikisha timu hiyo haiachwi hata pointi moja na Simba na Yanga.
CR Belouizdad ya Algeria inayonolewa na aliyekuwa Kocha wa Yanga, Sead Ramovic, imeongoza kundi C ikiwa na pointi 15, ikifuatiwa na AS Otoho D'Oyo ya Congo Brazzaville yenye pointi tisa, ambazo timu ...
Kujiengua kwa Simba ,Yanga na Azam FC kushiriki michuano ya CECAFA Kagame Cup ambayo Tanzania ni mwenyeji inatajwa kuleta athari ya moja kwa moja kwenye michuano hiyo. Ugumu wa ratiba kwa ajili ya ...
Mashabiki wa Simba watakwenda uwanjani Jumamosi wakiwa na matumaini makubwa ya ushindi na hiyo imetokana na timu yao kushinda mechi sita mfululizo ... Jumamosi ya Febuary 20, uwanja wa taifa Dar es ...
Simba SC na Yanga SC kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika pamoja na Azam FC na Singida Black Stars kwenye Kombe la Shirikisho Afrika na hivyo kuweka rekodi ya timu zote nne kutinga bkatika hatua ya makundi ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results