Makamu wa rais wa Marekani Kamala Harris amekuwa akikosolewa na maafisa kwa kutoa hotuba zinazopigia debe haki za wapenzi wa jinsia moja wakati wa ziara yake ya siku tatu katika bara la Afrika ...
Madiwani katika jiji la Paris wametupilia mbali hoja ambayo ililenga kufunga biashara ambayo imekuwa ikihusisha watu kulipia kukaa na midoli ya mapenzi kwa saa moja. Wateja hulipishwa €89 ($109; £78) ...
Mitandao ya kijamii siku hizi imeanza kutumiwa na watu wengi kuwatafuta wachumba. Je, ni muda upi unaostahili kuchukua kabla ya kukutana ana kwa ana na mchumba wa mtandaoni? Tumewashirikisha wananchi ...
Mapenzi hayana fundi wala mjuzi ndivyo anavyosema mtaalamu wa mahusiano Mwanahamisi Singano katika kipindi cha Karibuni anaposimulia mengi kuhusu mahusiano na haswa umuhimu wa siku ya Valentine katika ...